FT: Zalan 0-4 Yanga | CAF Champions League | Uwanja wa Mkapa | 10-09-2022

FT: Zalan 0-4 Yanga | CAF Champions League | Uwanja wa Mkapa | 10-09-2022

Sifa zinawaharibu, atakuwwa chizi kama NDEMLA, kusifiwa ana mashuti akawa anabutua butua tu mpira.
Kina GERRARD huko walikuwa na nguvu za kupiga lakini wanapiga kwa nyakati.
Hiyo ni nia aliyookotea hela, kila siku lazima apite
 
Yanga kimataifa ni kama kmc tu kelele nyingi wao wanaiwazia simba
 
Kocha Nabi ikikupendeza mtoe Ambundo halafu nafasi yake aingie Herritier Nakambo ili timu itengeneze nafasi nyingi zaidi za kufunga.

Line 1 amezingua! Goli la Mayele lilikuwa ni goli halali kabisa.
Yanga tunaujumiwa! Na hii yote inasababishwa na tff na karia wake, wanatuhujumu kwa kweli hakuna offside pale

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom