FT: Zalan 0-4 Yanga | CAF Champions League | Uwanja wa Mkapa | 10-09-2022

Feitoto awe anatoa na pasi kwa wenzake sio kila mpira abutue/ kupiga mashuti yasiyolenga lango
 
Imeshinda au imeongoza? Matokeo yakibaki kama yalivyo ndio kushinda
Sawa Mkuu kisheria iko hivyo ila hiyo ina advantage sana kwa Simba ukizingatia yuko away na pia kulingana na mechi ya mwisho walipata goli mapema ila hawakucheza katika kiwango, kiasi cha kufanya mashabiki tusiwe na matumaini saana kwenye michuani hii mikubwa

Lakini leo hii kusikia wanacheza kwa kujituma halafu wamepata na goli la kuongoza, inatia moyo sana
 
Shabiki oya oya
 
GSM MUDA huu.
Screenshot_20220910-101658~2.jpg
 
Feitoto awe anatoa na pasi kwa wenzake sio kila mpira abutue/ kupiga mashuti yasiyolenga lango
Anataka ustaa kwenye mechi muhimu?

Yanga waondokane na hiyo dhana, nakumbuka hata kwenye mechi ya Azam kipimdi cha kwanza walikuwa wana spirit hiyo.

Alianza Azizi ki, yuko katika eneo la kati sehemu ya kutoa pasi ye kafumua shuti la mbali mpira ukatoka nje ikawa goal kick

Akafuata Mayele naye hivyo hivyo mpira ukaenda nje

Akaja Nkane naye hivyo hivyo

Kipindi cha pili walikuja kusawazisha makosa yao na zile tamaa zao wakaziacha na kweli matokeo wakapata
 
Moloko analipwaje hela nyingi lwa performance mbovu kama hii
 
Back
Top Bottom