FT: Zalan 0-4 Yanga | CAF Champions League | Uwanja wa Mkapa | 10-09-2022

FT: Zalan 0-4 Yanga | CAF Champions League | Uwanja wa Mkapa | 10-09-2022

Mchezo umeanza hapa kwenye Uwanja wa Mkapa.

Vikosi vya timu zote vinaingia uwanjani muda huu

Ngoma inapigwa leo Jumamosi Septemba 10, 2022 na inatarajiwa kuanza saa 10:00 Jioni kwa Tanzania.

Kikosi cha Yanga kuelekea mchezo huu, tayari timu zipo uwanjani kwa ajili ya kupasha misuli.

Salaam kwenu;

Timu mbili za Kariakoo zitashuka dimbani katika mechi tofauti za kufuzu CAF Champions League.

Yanga watawakaribisha Zalan katika dimba la Mkapa.

Big Bullets watawakaribisha Simba huko nchini Malawi.

Mechi zote kupigwa Saa 10:00 alasiri kwa saa za hapa nyumbani

Mechi zote zitakuwa live kupitia Azam Sports 1&2

Karibu hapa kwa live updates za mechi zote mbili...
Marekebisho

Big bullets na simba ipo kwenye Azam sports 3 sio 2
 
Mishale ni victim wa ubovu wa mabeki na eneo la kati la Utopolo
 
Hawa zolan mtani atajipigia tu, aanze kujiandaa na st George vs al hilal ni aheri apite st George ila yule hilal namuhofia..

Natamani tz kwa mara ya kwanza tupeleke timu 2 makundi champions league
Na kule chini azam nae afike makundi
Itapendeza saana
Wewe ni muungwana sana.
Tena ingependeza kwenye nusu fainali simba na yanga wakipige kabisa
 
Uchaguzi wa jezi nao una impact katika kupata matokeo ya haraka

Hii jezi ya Gaidi Hamza hainaga baraka kwa Yanga, hii ndio iliwàfanya Azam wawatoe jasho
 
Uchaguzi wa jezi nao una impact katika kupata matokeo ya haraka

Hii jezi ya Gaidi Hamza hainaga baraka kwa Yanga, hii ndio iliwàfanya Azam wawatoe jasho
Hahaha watu mna maneno
 
Back
Top Bottom