FT: Zalan 0-4 Yanga | CAF Champions League | Uwanja wa Mkapa | 10-09-2022

FT: Zalan 0-4 Yanga | CAF Champions League | Uwanja wa Mkapa | 10-09-2022

Ngoja tuone.
Ila Tanzania ni kichwa cha mwendawazimu kila mtu ananyoa.

Note; Mimi sio shabiki wa mpira.
 
Hawa zolan mtani atajipigia tu, aanze kujiandaa na st George vs al hilal ni aheri apite st George ila yule hilal namuhofia..

Natamani tz kwa mara ya kwanza tupeleke timu 2 makundi champions league
Na kule chini azam nae afike makundi
Itapendeza saana
Wote tunapaswa kuwa na spirit kama hii
 
Back
Top Bottom