FT: Zalan 0-4 Yanga | CAF Champions League | Uwanja wa Mkapa | 10-09-2022

Kocha Nabi ikikupendeza mtoe Ambundo halafu nafasi yake aingie Herritier Nakambo ili timu itengeneze nafasi nyingi zaidi za kufunga.

Line 1 amezingua! Goli la Mayele lilikuwa ni goli halali kabisa.
Wewe ni zaidi Mgunda🤣🤣🤣
 
hawa Zalan wamefika jana saa tano,leo hii wapo uwanjani awana cha kuzoea mazingira wala kufanya mazoezi.
Na hiyo saa 5 ni airport, kufika mpaka hotelini saa 7, mpaka wamekula saa 9.

Wachezaji wamelala hadi saa 6 mchana, wakapiga danadana mbilimbili muda wa lunch ukawa umefika

Wamemaliza kula wakakuta gari ya kuwabeba wachezaji kuwapeleka uwanjani isha wasili
 
Inaonekana zalani A wamewaheshimu tu Zalan B ila wakifunguka wale wnapata goal
Kinachowaangusha zalan ni uchovu maana wamefika jana usiku saa 6 na leo wanakipiga ila wana team nzuri sana wale jamaa mechi ya pili itakuwa wameshapoa na uchovu hapo ndo kutakuwa na mpira.
 
Walipata wapi ni feisal tu aliamua kuwasaidia ila yanga kimataifa mwisho ni zanzibar tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…