Nas Mapesa
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 5,286
- 5,421
Tunaomba friend mechi na manyonyo kesho ili kujiweka sawa na game ijayo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuuh
Atapigwa kama ngomaMechi ya pili inabidi Yanga washinde za kutosha, ili kuwa disturb kiakili wapinzani wao wajao
Ume edit
Umepatia kabisa
Toa macho vizuri mkiaHata jukwaani hayupo. Tuliwaambia Hana sifa wakajidanya wajuaji.
Nenda kamuulize mbona Nabi alikuwepo imekuwajeJemadari Said Profesa wa uchambuzi hawezi kusema Uongo.
Umbeya huoKushinda mtashinda ila hatukutegemea wafike umbali huu bila kutangulwa hata goli moja
Atazifunga leo kapiga 3Mechi kama hii Mayele alipaswa afunge hata goli tano peke yake (home&away)
Utapata vidonda vya tumbo bureKushinda mtashinda ila hatukutegemea wafike umbali huu bila kutangulwa hata goli moja
Tuambie lini mlishinda goli 10 hata kwa timu ya stendiIngekua Simba tungefunga hata 10
Ulikuwa wapi wakati timu yako ikihaha na kuosa nafasi za wazi mpaka ukasubiri mpate bao la kuongoza?Utapata vidonda vya tumbo bure
Mechi zako tunazifahamu we phalla🤣🤣🤣Wewe unjipima afya na mgonja hospitali🤣🤣🤣🤣
Mie nasubira mechi dhindi ya bwana ibenge
Mie mechi za viwanja vikubwa siwezi🤣🤣🤣🤣 naweza mechi za viwanja vidogo vidogoMechi zako tunazifahamu we phalla🤣🤣🤣
Watakutoa roho fambaf zako🤣🤣🤣Mie mechi za viwanja vikubwa siwezi🤣🤣🤣🤣 naweza mechi za viwanja vidogo vidogo
Wee tulia mechi zinaanza round ya pili. Hapo sasa ndio unipigwa mbungiWatakutoa roho fambaf zako🤣🤣🤣
financial services njoo umuonye dalali wako huku😆
Sawa mzee wa UTIWee tulia mechi zinaanza round ya pili. Hapo sasa ndio unipigwa mbungi
Uti tena kivipi?Sawa mzee wa UTI
Ulitaka nifanyeje zaidi ya kuangalia mpira? mimi ni coach au mchezaji?Ulikuwa wapi wakati timu yako ikihaha na kuosa nafasi za wazi mpaka ukasubiri mpate bao la kuongoza?
Stop being such coward
Mlivyopata bao la kuongoza ulikuwa ni kocha au mchezaji?Ulitaka nifanyeje zaidi ya kuangalia mpira? mimi ni coach au mchezaji?