Fuatilia hapa LIVE route - radar ya ndege SPAR19 iliyombeba Speaker Nancy akielekea Taiwan

Fuatilia hapa LIVE route - radar ya ndege SPAR19 iliyombeba Speaker Nancy akielekea Taiwan

The unpaid Seller

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2019
Posts
2,113
Reaction score
6,251
Leo ndio leo msema kesho mchawi,

Zaidi ya watu laki tano wanaiouatilia roupe/safari ya Pelosi kuelekea Taiwan ambapo China imekemea vikalh hatua hiyo kwa kurusha ndege za kivita kuizunguka Taiwan huku U.S.A nao wakisogeza meli na manuari zao.

Ungana na maelfu ya watu kufuatilia kitakachojiri kwa kufuatilia safari kwa rada ya flightrader. Bofya link hapo chini

https://www.flightradar24.com/SPAR19/2ce4f83f
Screenshot_20220802-163910_Chrome.jpg
 
Leo ndio leo msema kesho mchawi,

Zaidi ya watu laki tano wanaiouatilia roupe/safari ya Pelosi kuelekea Taiwan ambapo China imekemea vikalh hatua hiyo kwa kurusha ndege za kivita kuizunguka Taiwan huku U.S.A nao wakisogeza meli na manuari zao.

Ungana na maelfu ya watu kufuatilia kitakachojiri kwa kufuatilia safari kwa rada ya flightrader. Bofya link hapo chini

Live Flight Tracker - Real-Time Flight Tracker Map | Flightradar24View attachment 2312006
Unashindwa kufuatilia mambo ya nchi yako unakwenda kufuatilia safari ya Pelosi? Afu utafaidika nini? Hivi Wa-Tz mmelogwa na nani? Huu nao ni uzi wa kupandisha humu?
 
Unashindwa kufuatilia mambo ya nchi yako unakwenda kufuatilia safari ya Pelosi? Afu utafaidika nini? Hivi Wa-Tz mmelogwa na nani? Huu nao ni uzi wa kupandisha humu?
Punguza ujuaji chief,
Sio kila Uzi humu jf upo kwa ajili yako
Nyuzi nyingine ukiona hazikuhusu pita kimya kimya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nahisi dunia inahitaj vita ya 3 ili watu waheshimiane

jamaa mmoja kabla ya urusi kuvamia ukraie nlimuuliza unajua madhara ya vita? akafoka kweli waache kumchukulia putin kiboya, nkamuuliza tena unajua madhara ya vita lakini? wakipigana kule umejipanga?

- ni kama aliniona sina akili maaana alidhan hayawezi kumfikia, saaahv naona amepaki tu gari yake inaenda route za muhimu tu
 
Back
Top Bottom