Fuatilia hapa LIVE route - radar ya ndege SPAR19 iliyombeba Speaker Nancy akielekea Taiwan

Fuatilia hapa LIVE route - radar ya ndege SPAR19 iliyombeba Speaker Nancy akielekea Taiwan

jamaa mmoja kabla ya urusi kuvamia ukraie nlimuuliza unajua madhara ya vita? akafoka kweli waache kumchukulia putin kiboya, nkamuuliza tena unajua madhara ya vita lakini? wakipigana kule umejipanga?
- ni kama aliniona sina akili maaana alidhan hayawezi kumfikia, saaahv naona amepaki tu gari yake inaenda route za muhimu tu
Na huu ni upumbavu wa watanzania wengi, wanashabikia Ile vita wakati inatuathiri mno sisi,ukimuuliza kisa cha chapati kupanda bei hajui ila kajaa ushabiki wa kivita
 
Anaandika ramzan kadyrov

" In 15 minutes, we'll see who the "great power" is: the US or China.
We don't talk about ourselves"View attachment 2312020

Sent using Jamii Forums mobile app
IMG_20220802_171727.jpg

Ndio maana ya super power
 
Duniani kuna Nuclear Warheads 13,080 na nchi ni nyingi ambazo zina nuclear
Sasa kila mmoja akituma yake hakuna atakaebaki
Wanasema viumbe wote hadi mimea tutakufa isipokuwa Mende tu
Doomsday labda yaja.
Hapo ndipo utajua kuwa ilikuwa ni wehu kuwaambia Iran na North Korea wasitengeneze mabomu ya nuclear huku wenye nayo wanatishia wenzao kuyatumia. Kama vipi na wao wayateketeze tu
 
Back
Top Bottom