Na huu ni upumbavu wa watanzania wengi, wanashabikia Ile vita wakati inatuathiri mno sisi,ukimuuliza kisa cha chapati kupanda bei hajui ila kajaa ushabiki wa kivitajamaa mmoja kabla ya urusi kuvamia ukraie nlimuuliza unajua madhara ya vita? akafoka kweli waache kumchukulia putin kiboya, nkamuuliza tena unajua madhara ya vita lakini? wakipigana kule umejipanga?
- ni kama aliniona sina akili maaana alidhan hayawezi kumfikia, saaahv naona amepaki tu gari yake inaenda route za muhimu tu