Fuatilia hapa LIVE route - radar ya ndege SPAR19 iliyombeba Speaker Nancy akielekea Taiwan

Fuatilia hapa LIVE route - radar ya ndege SPAR19 iliyombeba Speaker Nancy akielekea Taiwan

jamaa mmoja kabla ya urusi kuvamia ukraie nlimuuliza unajua madhara ya vita? akafoka kweli waache kumchukulia putin kiboya, nkamuuliza tena unajua madhara ya vita lakini? wakipigana kule umejipanga?....
Sisi hatuwezi kuzuia wasipigane, na nimesema hivyo kwa sababu dunia imekuwa ya tension huyu anamtisha huyu, huyu anamtisha yule na at some point lazima watadundana ili power balance iwepo.

Yani hii haina tofauti na vita ya 2 ya dunia. Japan alishindwa akawa mpole mpaka leo akajua nafasi yake.

Mimi hii vita siiombei maana ikianza nitapigka balaa kutokana na nature ya kitu nachofanya
 
Unashindwa kufuatilia mambo ya nchi yako unakwenda kufuatilia safari ya Pelosi? Afu utafaidika nini? Hivi Wa-Tz mmelogwa na nani? Huu nao ni uzi wa kupandisha humu?
Oi! kwanini unaacha kufuatilia maisha yako badala yake unaenda kufuatilia watu wanaandika nini mitandaoni na kupangiana maisha?
Mkuu umelogwa na nani? Hii nayo ni comment ya kuandika humu?

Hakuna anayeweza kuona kisogo chake mwenyewe bali vya wengine tu.
 
Back
Top Bottom