Fuatilia hapa LIVE route - radar ya ndege SPAR19 iliyombeba Speaker Nancy akielekea Taiwan

Leo ndio leo msema kesho mchawi,

Zaidi ya watu laki tano wanaiouatilia roupe/safari ya Pelosi kuelekea Taiwan ambapo China imekemea vikalh hatua hiyo kwa kurusha ndege za kivita kuizunguka Taiwan huku U.S.A nao wakisogeza meli na manuari zao...
Ndege inafuatiliwa mpk system ina jam 🤣

IMG_20220802_172315.jpg
 
Zamani niliamini hakuna mbabe kama Mrusi ila kadri mambo navyozidi kuyaona, hakika hakuna mbabe kama US.
USA wamebarikiwa sana sio kawaida. Huwezi kuwa top wa Dunia kwa muda mrefu kiasi hiki huku kila leo unapigana vita visivyoisha. Jamaa wamepigana vita vingi mno yaani maisha yao kila siku ni vita na wenyewe wanajua.

Wamejipambanua wenyewe wanajiita mambo yao 'This is America' nawakubali sana hawataki unyonge
 
Vita gani vingi amepigana USA? na matokeo yake yakawaje?
 
Back
Top Bottom