The unpaid Seller
JF-Expert Member
- Oct 27, 2019
- 2,113
- 6,251
Mkuu uko sahihiNahs dunia inahitaj vita ya 3 ili watu waheshimiane
Unashindwa kufuatilia mambo ya nchi yako unakwenda kufuatilia safari ya Pelosi? Afu utafaidika nini? Hivi Wa-Tz mmelogwa na nani? Huu nao ni uzi wa kupandisha humu?Leo ndio leo msema kesho mchawi,
Zaidi ya watu laki tano wanaiouatilia roupe/safari ya Pelosi kuelekea Taiwan ambapo China imekemea vikalh hatua hiyo kwa kurusha ndege za kivita kuizunguka Taiwan huku U.S.A nao wakisogeza meli na manuari zao.
Ungana na maelfu ya watu kufuatilia kitakachojiri kwa kufuatilia safari kwa rada ya flightrader. Bofya link hapo chini
Live Flight Tracker - Real-Time Flight Tracker Map | Flightradar24View attachment 2312006Live Flight Tracker - Real-Time Flight Tracker Map | Flightradar24
View flight from Kuala Lumpur to Taipei on Flightradar24www.flightradar24.com
Hata hawawezi kupgana wanachimabana bati tuu muda bado ila mbelen watakuja fumuana
Hakuna lolote litakalo tokea hapo.
Punguza ujuaji chief,Unashindwa kufuatilia mambo ya nchi yako unakwenda kufuatilia safari ya Pelosi? Afu utafaidika nini? Hivi Wa-Tz mmelogwa na nani? Huu nao ni uzi wa kupandisha humu?
Nahisi dunia inahitaj vita ya 3 ili watu waheshimiane
China akiufyata atajishushia Sana heshima,Hata hawawezi kupgana wanachimabana bati tuu muda bado ila mbelen watakuja fumuana