Fuatilia hapa LIVE route - radar ya ndege SPAR19 iliyombeba Speaker Nancy akielekea Taiwan

Fuatilia hapa LIVE route - radar ya ndege SPAR19 iliyombeba Speaker Nancy akielekea Taiwan

Ila mkuu una moyo na wachina na bado hutoamini mpaka kukuche uone kaondoka salama huenda ndo utaamini kuwa kweli mchina ni mandonga tu.
Mkwara wao tangu juzi ndo unanipa matumaini, itakua Ni aibu sana kurudisha vikosi beijing na zile mbwewe zao zote[emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkwara wao tangu juzi ndo unanipa matumaini, itakua Ni aibu sana kurudisha vikosi beijing na zile mbwewe zao zote[emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
Anga la Taiwan lipo chini ya US 3week before,mchina kaja kushtuka juzi tu 🤣

Hio ndio maana inaitwa super power sio mchezo

Watu wapo makini na mambo yao
 
Nachoamini china kuna hesabu anapiga
I think equation haijabalance.
Ilitakiwa kulekule juu wam eskot Pelos akatue Beijing halafu ndo wamruhusu aende Taiwan.
Hii ina maana one China policy is deteriorating. China is loosing face internationally.
Au, hizo hesabu zibalance kabla Pelos hajaondoka. Kumbuka uki mdetain Pelos ni declaration of war. She is US high ranking official, the third in the line of power.
 
Kitu ambacho naona watu hawakizungumzii ni ujasiri wa Nancy Pelosi, yaani pamoja na kuwa marine na air defence systems ziko standby kwa attack, bibie kakwea pipa bila hofu!! Interesting...
Sasa hapo inataka ujasiri gani?Zungumzia mtu anaingia kwny karo la mavi anazibua hakuna Cha safety measures yoyote Ile iliyochukuliwa na analipwa buku 10 tu
 
Back
Top Bottom