Fuatilia hapa LIVE route - radar ya ndege SPAR19 iliyombeba Speaker Nancy akielekea Taiwan

Fuatilia hapa LIVE route - radar ya ndege SPAR19 iliyombeba Speaker Nancy akielekea Taiwan

Kitu ambacho naona watu hawakizungumzii ni ujasiri wa Nancy Pelosi, yaani pamoja na kuwa marine na air defence systems ziko standby kwa attack, bibie kakwea pipa bila hofu!! Interesting...
Karibia anakufa keshazeeka huyo....papuchi yake ilishamaliza mileage tofauti na mm bado Nina malengo yangu huenda sijawahi panda ndege ila pia hip nafasi ya huyo ajuza nisingekubali kukwea Hilo pipa
 
Mchina uko kapiga alarm za hatari,

Watu wake wakao mkao wa vita-jimbo la fujian lililotazamana na taiwan walikomimina vikosi vyao vya kijeshi leo

Ngoja tuone [emoji16]
Screenshot_20220802-181234.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
China akiacha hili lipite nita wadharau sana
duh na akili zako zoooote uliamini china wana ubavu wa kumzuia Nancy? pole yako ndo ujue nini maana ya US kuitwa super power vitendo vinaongea na sio maneno
bado hujachelewa anza sasa kuwadharau wachina a.ka china mandonga
 
Back
Top Bottom