Fuatilia hapa LIVE route - radar ya ndege SPAR19 iliyombeba Speaker Nancy akielekea Taiwan

Duh, leo ndio nimethibitisha kumbe Wachina hawatengenezi bidhaa feki tu, bali hata maneno yao ni feki pia.

Yani Pelosi katua Taiwani kama anavyotuaga pale Newyork tu.
 
Mchina mimi tangu amwage viruses za corona basi nimemvulia kofia

Kama USA alionyesha nguvu kwenye atomic bomb miaka hiyo sasa wao wamemuonyesha biological weapons yao

Duniani hakuna mbabe maadam kila nchi wanahakikisha wanatengeneza kwa kujihami hata kama raia wao baadhi watateketea

Nakumbuka hata Japan kuna wakati waliweka kwenye train zao na kuuwa watu pia yalikuwa majaribio

Na sisi wanapiga marufuku vumbi la Congo huo ndio uwezo wetu

Ila Ukimwi kama ilikuwa ni biological weapons wengi hawaamini pia

Eti ugonjwa mpya
My foot [emoji31]
 
hivi wewe unaongea mambo gani.
1. Either virusi vilitoka kwa wanyama hapo china
2. Au vilitoka maadata hapo china.

Kama vilitoka maabara, basi ni maabara iliyokuwa ikifadhiliwa na USA.
 
Then kama china hawata fanya actions zozote mbaka huyu mama akiondoka bila shaka Taiwan watapata kiburi mara mia zaidi.

Yani mbaka nashindwa kuelewa china wanavyo sema Taiwan nisehemu ya nchiyao alafu mtu mgeni anaingia kwenye nchiyako bila ruhusa yako tena kwa lazima!!.

It's more than pc of sht!.
 
Dah mbibi katua asee....hata ivo vita hizi sio nzuri tusianze kushabikia eti China achukue action
 
Hamna kitu Hawa. Wamenifanya nukaunga bando la buku mbili. Najiunga nakuta Pelos anashuka. Wakati nikipanga nione vita live huko Twitter.

Hawa waendelee kuzaa simu vita hawawezi.
 
Hahahaha eti hawaamini kama kapanda ile ndege, hivi watu wanamchukuliaje US? Yaani wampandishe ndege nyingine ili ionekane kuwa wamemuogopa Mchina?
Kitu ambacho watu wengi hatujui ni kuwa USA kawekeza sana Taiwan na hata makampuni mengi ya Wazungu wayliyoko China yalianzia Taiwan, kwahiyo hicho kisiwa ni strategic area ya USA. Na China hawezi kuanzisha vita atajikuta anavipigania nyumbani kwake mjue kuwa Korea, Japan, military base za Ufaransa zitashiriki fasta kumshambulia kwahiyo ni ngumu sana Kwa China hapo
 
Bosi leo US service men were out on Alert of war. Na wakaambiwa wakishambuliwa washambulie. Unahisi Congress ilikutana. Nooooo...kuna wakati mwingine rais anapower kulingana na mazingira na wakati.
 
Urusi huo mziki kauvagaa, hiyo vita haiishi leo west mpaka wahikikishe rusia ameishiwa materials za kutengeneza siraha halafu wanatinga Kremlin kwenda kumnyakuwa huyo chizi.

Vita bado vipo sn na Russia kashajazwa

Kati ya mitego ambayo China aliwekewa na kaikwepa huu ndio ulikuwa mkubwa, mungu wake kamsaidia Leo maana China ingekuwa kama Vietnam

Usicheze na Moto wa usa.
 
Unashindwa kufuatilia mambo ya nchi yako unakwenda kufuatilia safari ya Pelosi? Afu utafaidika nini? Hivi Wa-Tz mmelogwa na nani? Huu nao ni uzi wa kupandisha humu?
Mambo ya nchi yako kama yapi.. ambayo ni ya msingi zaid. Hebu dadavua
 
Ameamua kujitoa sadaka kwa ajili ya nchi yake; huo ni ushujaa
Angefanya hivyo miaka 40 iliyopita wakati bado wa moto in term of umri, sasa hivi ana miaka 82 ndo anakumbuka, yaani ni sawa kwenye familia muambiwe atolewe mtu mmoja sadaka alafu anachaguliwa bibi au babu.......jokes kidogo anyway
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…