Theb
JF-Expert Member
- Jan 25, 2019
- 3,927
- 7,276
Hapa mchina atakaa kimya tu maana akikiwasha ngoma inachezewa kwake na sio kwa mmarekani. Hapa mchina atulie tu akikohoa ana bomolewa vzr sana. Na kauchumi kake katashushwa mbaya mbovu. Ila AmericaWatarudi drawing board kujiuliza kwanini wamedharaurika kiasi hiki.
Dunia ilitegemea amgomee US ila kashindwa, angeweza lazima vimbwa koko vingefuata tu.
Labda hakuwa na planning