Fuatilia hapa LIVE route - radar ya ndege SPAR19 iliyombeba Speaker Nancy akielekea Taiwan

Fuatilia hapa LIVE route - radar ya ndege SPAR19 iliyombeba Speaker Nancy akielekea Taiwan

Watarudi drawing board kujiuliza kwanini wamedharaurika kiasi hiki.

Dunia ilitegemea amgomee US ila kashindwa, angeweza lazima vimbwa koko vingefuata tu.

Labda hakuwa na planning
Hapa mchina atakaa kimya tu maana akikiwasha ngoma inachezewa kwake na sio kwa mmarekani. Hapa mchina atulie tu akikohoa ana bomolewa vzr sana. Na kauchumi kake katashushwa mbaya mbovu. Ila America
 
Fact, bado siku haijaisha huku upande wangu, but US wataingia gharama kubwa kutatua huu mzozo
Losses zitakuwapo pande zote, ila mi nadhani huu ni mchezo wa kutengeneza WASHIRIKA. Katika hii show ya leo confidence ya washirika potential wa China itakuwa imeshushwa vibaya sana.
 
Marekani walishatoa tahadhari mapema tangu juzi kwamba PLA watafanya provocation kama za kurusha Makombora,ndege,nk. Inaonekana intelligence ya USA iko makini sana
Mtu anajua mpaka kesho yako, unafkiri unapambana nae vipi?
 
Sijaelewa mpaka sasa kwenye hii safari ya KIBUNGE secretary of defence Lloyd J. Austin III amefuata nini?
 
Back
Top Bottom