Fuatilia hapa LIVE route - radar ya ndege SPAR19 iliyombeba Speaker Nancy akielekea Taiwan

Fuatilia hapa LIVE route - radar ya ndege SPAR19 iliyombeba Speaker Nancy akielekea Taiwan

China imesema kuanzia alhamis itafanya mazoezi ya kijeshi katika maeneo sita kuzungumza kisiwa Cha Taiwan

[emoji4][emoji116]
The #PLA will conduct military exercises and training activities including live-fire drills in six regions surrounding the island of #Taiwan from Thursday to Sunday according to Chinese media.

Harassment season is about to start......

#Taiwanchina

My take:
hata Russia nao walianza hivi hivi kimasihara
IMG_20220802_183540.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Doomsday labda yaja.
Hapo ndipo utajua kuwa ilikuwa ni wehu kuwaambia Iran na North Korea wasitengeneze mabomu ya nuclear huku wenye nayo wanatishia wenzao kuyatumia. Kama vipi na wao wayateketeze tu
Yaani makubaliano ya kipumbavu sana waliotiliana mkataba
Makombora yasitumike kwa vita
Hilo ndo sharti lao ila hakuna mahali wamesema wasitengeneze

Sasa kama wanakataa yasitumike kwanini wanakubali yatengenezwe na baadhi ya nchi tu

Na walipuane tu
Hakuna wabaya kwanza kama USA maana walishauwa wengi Nagoya na Nagasaki
Halafu wao ndio wanajifanya watetezi wa haki bullshit [emoji19]
 
Hamna,
Alikuepo Taiwan,
Mpk ndege inashuka, mchina Bado Alikua anapiga Doria anga la taiwan.

Nmeshangaa Sana kaiachaje itue ardhini.
Au tuSeme alkua Ni anazurura TU maana alitakiwa apige hata gruneti moja, tumuone Yuko serious na misimamo yake [emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app

Walishaona anatania na wataendelea kumshika Matacore mpaka apate akili
 
Back
Top Bottom