t blj
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 7,035
- 16,705
Tofauti lazima iwepo sema labda wewe hukuiona . spacer zinaondoa sana balance ya gari.Nina Toyota Voltz, ilifika June toka Japan. Kutokana na changamoto za barabara ninapoishi, nimeiinua mbele kwa kufunga spacer. Hapa mjini (DSM) nishafika hadi 120kph bila kuona hiyo balance ikipotea. Otherwise kuna imbalanced wheels au poor wheel alignment.