Fuels Economy family car

Fuels Economy family car

Nina Toyota Voltz, ilifika June toka Japan. Kutokana na changamoto za barabara ninapoishi, nimeiinua mbele kwa kufunga spacer. Hapa mjini (DSM) nishafika hadi 120kph bila kuona hiyo balance ikipotea. Otherwise kuna imbalanced wheels au poor wheel alignment.
Tofauti lazima iwepo sema labda wewe hukuiona . spacer zinaondoa sana balance ya gari.
 
Go for Toyota Wish, second generation (2009+). It's a seven seater station wagon. Chukua yenye injini ya 2ZR-FAE, ambayo ni improved model ya 1ZZ-FE (1800cc). Ila kwenye bei ni kuanzia 18mil.

Kwa sasa USD ilivyo changamoto, huenda bei ikafika 20mil. Kama bajeti itakuwa changamoto, go for first generation. Changamoto zake ni kuwa ziko chini (ground clearance). Itabidi ufunge spacer au tairi kubwa zaidi.

Sijui kama utapata SUV kwa sifa hizo ulizotaja. Labda iwe crossover.
Hiyo imekosa vigezo vyake, rudia kusoma (#4 & 6)
 
Petrol consumption inapungua ukiwa angalau wastani wa speed namba ngapi wadau....
Matumizi mazuri ya petrol unayapa kwa kuendesha wastani wa 65km/h hadi 90km/h hivi.
Hii inamaanisha ukienda pole pole yanaongezeka na ukienda kasi zaidi ya hapo yanaongezeka
Lakini kuna sababu nyingine zinazochangia kutumia mafuta mengi kama
Kubeba mzigo mzito, kutokufanya sevice kwa wakati, kutokutumia vilainishi (Oil) sahihi nk
 
Hiyo imekosa vigezo vyake, rudia kusoma (#4 & 6)
Umesoma comment yangu hadi mwisho? Ungeisoma hadi mwisho ungeona nilichosema khs hivyo vigezo vyake (4 na 6).

Ni SUV gani yenye kubeba watu 7, na injini iwe less than 2000cc? Maana hata hizo crossover kama Vanguard zina injini kubwa zaidi ya hiyo anayotaka.
 
Matumizi mazuri ya petrol unayapa kwa kuendesha wastani wa 65km/h hadi 90km/h hivi.
Hii inamaanisha ukienda pole pole yanaongezeka na ukienda kasi zaidi ya hapo yanaongezeka
Lakini kuna sababu nyingine zinazochangia kutumia mafuta mengi kama
Kubeba mzigo mzito, kutokufanya sevice kwa wakati, kutokutumia vilainishi (Oil) sahihi nk
Sidhani hapa kama uko sahihi mkuu ni 90km/h-110km/h au engine isizidi 2500rpm,factors nyingine ni ukanyagaji wa mafuta,uondoaji wa gari baada ya kusimama,upepo wa kwenye tairi kama hauko sahihi n.k...
 
Mambo yakiwa mazuri huko baadae ntaanza na premio au run x ...shida ni kwamba nawaza sana fuel consumption
Na hiyo ndio factor kubwa ya kuchagua magari,kwa kuwa ktk maisha yote utayokaa na hiyo gari,ununuaji wa mafuta utakuwa ni fixed cost,so lazima uchague utakachokimudu.

Pia hizo brand zote ni nzuri,ila ukipata premio new model yake nayo inakula wese vizuri sana sema bei yake imechangamka kidogo.
 
Back
Top Bottom