Fujo la udini Nigeria

Fujo la udini Nigeria

kuwepo kwa mahakama ya kadhi hakumaanishi kutakuwa na vita (mifano ipo zanzibar, mombasa, n.k).
wanaopinga mahakama ya kadhi wapinge kwa misingi mengine, hilo la vita halimo
 
Hivi Koran imeshindwa kiasi cha kutaka isaidiwe na mahakama?
 
Hivi Koran imeshindwa kiasi cha kutaka isaidiwe na mahakama?

Heheee, kazi kweli haya maswali mengine, lakini sawa tutajaribu kukuelewesha.
It seems to me from your question, or let us say, Are you really serious that you don't understand what or the difference between Koran, Mahakama (courts) and "Sharia" are, even in their simple lay terms? Unbeleivable but may be possible. If truly you don't understand these terms then may the Almighty bestow you with the knowledge, most importantly the understaning.

"Koran" ndugu yangu ni maneno ya Mwenyezi Mungu (SW) aliyomteremshia Mtume wake Muhammad (SW) ambayo kwa uwezo wake yeye mwenyewe Mwenyezi Mungu amewezesha maneno yake hayo kuhifadhiwa katika kitabu kiitwacho msahafu/Koran au kuhifadhiwa kama yalivyoteremshwa ndani ya nyoyo/akili za baadhi ya waja wake wenye kuamini (waislamu). Kwa mfano ni kama vile Zaburi (Psalms) kwa Daudi(David), Tauarati (Torah) kwa Musa(Moses) , Injili (Gospel) SIYO Biblia/Bible, tafadhali tofautisha vizuri, kwa Yesu(Jesus). Mpaka hapa nafikiri unapata picha kwamba vitabu vitakatifu hivi kwahivyo huwa kwa wakati na watu husika ndio "Source of reference" ya masuala yao yote na yote ya maisha. Nyengine ni Sunna (somo jengine hili lakini kwa kifupi hii ni "source of reference" katika uislamu ambayo inatokana na Mtume Muhammad (SAW)). Katu "Source" hizi hazishindwi hata siku moja na zina majibu na maelekezo ya maswala yote, yote na yote ya maisha ya mwanadamu, labda ni watu ambao kwa ujinga, kutokupenda au kupenda dunia zaidi ndio hushindwa kuvifuata.

"Sharia" mdogo wangu ni hukumu mbali mbali kwa mujibu wa "source" yaani hapa Koran, zinazoongoza uundaji na utekelezaji wa jambo lolote linalomuhusu mtekelezaji. Wewe ndio tuseme huna muislamu unaemfahamu ambae anatekeleza masuala yake ya dini kama kuswali, kufunga, kudai kitu fulani halali na akakitumia na kenginecho haramu na akajiepusha, nk, nk. Huna mtu wa namna huyo? Naam, basi anafuata "Sharia" katika individual level. "Sharia" haiishii katika individual level tu bali hutanuka mpaka katika family level, village, nation mpaka international level. Kama "source" ya utekelezaji wa jambo fulani ni Koran, iwe mfano kifamilia/kijamii: ndoa/mirathi, iwe ki-national level (mfano MAHAKAMA/Taifa/Dola(Nation/state), vita dhidi ya madhalimu na wavamizi, iwe kimataifa, eg. haki za binadamu, za wanawake na watoto nk, nk, basi jambo lile husemekana limefanywa kwa mujibu wa "Sharia". umeelewa???

Hivyo hapo Koran itashindwaje? Au inakuwakuwaje hata Mahakama iwe replacement ya Koran iliyoshindwa? Inawezekana kweli?
Kwa kifupi tu Mahakama, Majlisi Shura (mfano wa bunge/wakilishi), na vengine vingi ni vyombo tu vya uundaji na utekelezaji wa "Sharia" kwa mujibu wa sources "Koran" na "Sunna" ambavyo ni maelekezo ya Mwenyezi Mungu (SW) aliyoyawezesha kuhifadhika daima na milele ili vipate kubainisha uhalali, uharamu, kiasi, nk kuhusiana na kila aspect ya maisha ya mwanadamu at individual, family, village, nation and global level.

Remember, Mahakama ya kadhi wanayoitaka waislamu ni ile itakayoshughulikia masuala ya "civil" tu na siyo "Criminal" unless labda serikali ishindwe ku-deal na mafisadi na wawatake waislamu watanue zaidi na kuwashughulikia ki"criminal" mafisadi. Ufisadi lazima uwe mwisho. Wanalijua hilo!!!
 
...

"Koran" ndugu yangu ni maneno ya Mwenyezi Mungu ...

Remember, Mahakama ya kadhi wanayoitaka waislamu ni ile itakayoshughulikia masuala ya "civil" tu na siyo "Criminal" unless labda serikali ishindwe ku-deal na mafisadi na wawatake waislamu watanue zaidi na kuwashughulikia ki"criminal" mafisadi. Ufisadi lazima uwe mwisho. Wanalijua hilo!!!


Mwanangu/dogo/Mkuu,

Nimeisoma post yako vizuri na kwamakini. Ila nina swali:

Umesema kwamba wakiruhusu "sharia" itumike on both civil and criminal cases, itakomesha ufisadi.Kama sharia inaweza kufanya hivyo, basi hata na mimi nitaunga mkono Tanzania tutumie "Sharia", maana ufisadi utatokomeshwa.

Je unaweza kutoa mfano wa nchi ambayo imefanikiwa kwa kufanya hivyo? Yaani, ukienda nyuma miaka 1,500 toka wakati wa Mtume (Peace be upon him), ni jamii gani ambayo watu wake wako na maisha bora hapa duniani (wana amani, hamna wizi/ufisadi, kuna upendo, hamna njaa, n.k.) kwasababu katiba ya nchi hiyo iko based on Koran/Sharia?
 
"Koran" ndugu yangu ni maneno ya Mwenyezi Mungu (SW) aliyomteremshia Mtume wake Muhammad (SW) ambayo kwa uwezo wake yeye mwenyewe Mwenyezi Mungu amewezesha maneno yake hayo kuhifadhiwa katika kitabu kiitwacho msahafu/Koran au kuhifadhiwa kama yalivyoteremshwa ndani ya nyoyo/akili za baadhi ya waja wake wenye kuamini (waislamu). Kwa mfano ni kama vile Zaburi (Psalms) kwa Daudi(David), Tauarati (Torah) kwa Musa(Moses) , Injili (Gospel) SIYO Biblia/Bible, tafadhali tofautisha vizuri, kwa Yesu(Jesus). Mpaka hapa nafikiri unapata picha kwamba vitabu vitakatifu hivi kwahivyo huwa kwa wakati na watu husika ndio "Source of reference" ya masuala yao yote na yote ya maisha. !!!


Hivi umesha wahi kuisoma hiyo Koran? Hebu niambie ni nani mzungumzaji katika hiyo kolani yenu?
 
Hivi Koran imeshindwa kiasi cha kutaka isaidiwe na mahakama?

Mukulu, koran imejaa mashaka tupu. ndio maana inahitaji msaada kama wa hadith n.k.

Jamaa wanatia huruma, sasa wanakatana vichwa kama wehu.
 
Hivi Koran imeshindwa kiasi cha kutaka isaidiwe na mahakama?

Tatizo la koran ni lugha. Kadir inchi mbalimbali zinavyopata maendeleo watu wanataka kitu kinacho someka na kueleweka kwa jamii haraka sasa wewe koran ni kiaabu, mtu wangu wa pale mbagala kizuiani kamaliza std 7 na ni muumini wa dini hii, ataelewa kweli hii lugha kulia kushoto??

Hata mashehe wa Tanzania wengi hawajui tafsiri sahihi za koran.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom