Watu kama nyie kwenye jamii yoyote hamkosekani tumewazoea.
Hotuba nzima anajiongelea yeye kwenye hotuba yote
Unasema nzuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hotuba nzima anajiongelea yeye kwenye hotuba yote
Unasema nzuri
Maoni yako uko sawa hotuba yako ya kiwango Cha juu Iko wapiHotuba iko kiwango cha chini.imejaa mimi mimi,mimi nyingi mno yaani hotuba nzima kifupi ni kuwa alijiongelea yeye kutoka mwanzo hadi mwisho .Hotuba kwenye public haitakiwi kuwa hivyo.
Punguza upunguaniMbowe kama alivyowauza kwa lowassa ameuwauza tena kwa Samia.