T T2020CDM Senior Member Joined Oct 17, 2020 Posts 134 Reaction score 212 Mar 9, 2022 #41 Watu kama nyie kwenye jamii yoyote hamkosekani tumewazoea. YEHODAYA said: Hotuba nzima anajiongelea yeye kwenye hotuba yote Unasema nzuri Click to expand...
Watu kama nyie kwenye jamii yoyote hamkosekani tumewazoea. YEHODAYA said: Hotuba nzima anajiongelea yeye kwenye hotuba yote Unasema nzuri Click to expand...
APA CHICAGO JF-Expert Member Joined Oct 20, 2019 Posts 259 Reaction score 292 Mar 9, 2022 #42 YEHODAYA said: Hotuba iko kiwango cha chini.imejaa mimi mimi,mimi nyingi mno yaani hotuba nzima kifupi ni kuwa alijiongelea yeye kutoka mwanzo hadi mwisho .Hotuba kwenye public haitakiwi kuwa hivyo. Click to expand... Maoni yako uko sawa hotuba yako ya kiwango Cha juu Iko wapi
YEHODAYA said: Hotuba iko kiwango cha chini.imejaa mimi mimi,mimi nyingi mno yaani hotuba nzima kifupi ni kuwa alijiongelea yeye kutoka mwanzo hadi mwisho .Hotuba kwenye public haitakiwi kuwa hivyo. Click to expand... Maoni yako uko sawa hotuba yako ya kiwango Cha juu Iko wapi
K kina kirefu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2018 Posts 15,188 Reaction score 18,583 Mar 9, 2022 #43 sinza pazuri said: Mbowe kama alivyowauza kwa lowassa ameuwauza tena kwa Samia. Click to expand... Punguza upunguani
sinza pazuri said: Mbowe kama alivyowauza kwa lowassa ameuwauza tena kwa Samia. Click to expand... Punguza upunguani