Full Text: Ripoti ya PAC Bungeni kuhusu Tegeta Escrow Account

werema ana tia huruma mashavu yame mshuka kama mimba ya panya babake leeoooo
 
Mie haya mambo siyaelewi sana.
kwani hizi hela zina uhusiano na zile zinazokatwa tukinunua umeme wa 15,000 napata unit 11?
 
Pinda must go.... Serikali dhaifu kweli kweli... yaani Richmond ilikuwa kampuni feki, bado piperlink pia wameleta kampuni hewa????????????? hii serikali ya kisenge
 
Report inaonekana ndefu sana saa lishaisha nataka mapendekezo ya kamati..
 
Namuona Muhongo anacheka, amefurahia nn, au kicheko cha msiba!.
 
FaizaFoxy, Ritz, MSALANI, SIMIYU YETU, jamani njooni huku mbona hatuwaoni?.
 

Sasa mkuu mlikuwa wapi??? Kwamba Zitto alichofanya si kitu bali kile mnachoenda kufanya nyinyi?? Kama kawaida iwe kete ya kuuza chama na si kupigania maslahi ya kitaifa.....losers!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…