Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa jinsi report inavyoendelea kusomwa naona WEREMA anabadilika taratibu kuwa NYANI na KAFULILA anakuwa BINADAMU
Hahahaaaaa usiombe apewe nafasi ya kujitetea teh teh teh hata kuongea hawezagi..Werema ni shida. Sioni kama atapona hapa.
PAP wagushi mikataba!
Vipi jamani, mliopo mjengoni mtujuze hawa maji tajwa yapo mjengoni? au wamesepa? Pinda, Muhongo, Werema,nk.
werema ana tia huruma mashavu yame mshuka kama mimba ya panya babake leeoooo
Victoire
Carry the bigger picture mkuu. Escrow Account ni snap shot tu ya ufisadi mkubwa unaitwa IPTL ambao wako watu hawawezi kukubali ufumuliwe wote.
Hata hilo la Escrow; mbona yote hayasemwi na Kamati zote. Where is the royal family, where is Mkono & Co.
Ukifumua the whole saga ya IPTL utapata majibu... kuna ufisadi watu hawawezi kuibua midomo kuusema. Ndiyo maana operesheni hiyo italenga ufisadi wote. Ukiwemo huo wa Escrow unaozungumzwa nusu nusu sasa.
Zitto ni hazina kubwa kwa taifa hili.