Full Text: Ripoti ya PAC Bungeni kuhusu Tegeta Escrow Account

Leo nimekaa hapa sebuleni na familia nzima. Wife, mwanagu wa miaka mi 4 shemeji, dada wa nyumbani, house boy, kijana wa jirani na kuna jamaa wawili siwajui vizuri lakini poa tu tutaulizana baada ya repoti hii bungeni!
Angalia hao jamaa ambao huwajui wanaweza kukuchenjia baadaye wanadhani na wewe ulipata mgawo wa Escrow.
 
Duuu watu wamepiga hela hakika!
 
Muhongo rudi kakamate chaki,na hivi umestaafu sijui itakuwaje
 
Kwa hali hii litarudia hilo tezi

Hapa baadhi ya watuhumiwa wa escrow watajua kuwa ule ugonjwa wa kikwete mzuri sana ili nao waumwe na wakatibiwe nje kukwepa hii aibu ya leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…