mutisya mutambu
JF-Expert Member
- Nov 21, 2010
- 208
- 82
kavaa vazi la kijasiriNa leo ZZK kavaa "gwanda" hii inamaanisha nini??
Hahahaaaaaa mkuu unafurukuta ila msumari hautoki...Umeisikia CCM ikitajwa hapa?
Mungu wangu! Matola nisaidie km nikiwa na 70bil tshs, nitumie gari gani kubeba hela hizo
kavaa vazi la kijasiri
HOE ulishawahi kubebea hata kwenye bahasha ya khaki??