Hayawi hayawi sasa yamekua ..
mnaomtakia mabaya Mh. Pinda a.k.a mtoto wa mkulima sasa mmeumbuka
Pinda msafiii .. hajakomba hata Tsh ya Escrow .
Movement ya Mtoto wa mkulima kuelekea Uchaguzi mkuu , bado upo pale pale .
We better talk with evidence .
ESCROW NI KOKORO
Mkuu hujaisom report nadhani. Wapo wengi na bado taarifa ya uchunguzi ya TAKUKURU
Mmh jaman taratibu na matusi yenu... subirini bunge liishe kwanza
Waziri na Naibu Waziri wa Nishati na Madini nao kitanzini...
Muhongo alikuwa dalali kati ya Sethi na JR...