Full Text: Ripoti ya PAC Bungeni kuhusu Tegeta Escrow Account

Full Text: Ripoti ya PAC Bungeni kuhusu Tegeta Escrow Account

Hayawi hayawi sasa yamekua ..
mnaomtakia mabaya Mh. Pinda a.k.a mtoto wa mkulima sasa mmeumbuka

Pinda msafiii .. hajakomba hata Tsh ya Escrow .

Movement ya Mtoto wa mkulima kuelekea Uchaguzi mkuu , bado upo pale pale .

We better talk with evidence .

Kama ni msafi hakuna shida! Tunashukuru! Tunataka wachafu wajulikane na hatua zichukuliwe!
 
Mhhh moja Singa singa hana uhalali wa kununua hisa za iptl
Lakini upande mwengine Inga singa kanunua kihalali hisa za Rugemalirila !!!!
Ripoti na mapendekezo ya kukomoana tu hayawiani na hali halisi
 
1417016938499.jpg
 
ESCROW NI KOKORO
Mkuu hujaisom report nadhani. Wapo wengi na bado taarifa ya uchunguzi ya TAKUKURU

Hapo kwenye kusubiri Takukuru ndio ninapoona tunapotezwa maboya...

Ripoti inataja wakubwa wachache sana na sasa naona katajwa AG Werema pia...
 
Wadau huyu MUHONGO ANA DHARAU SANAAAA. ANACHEKA CHEKA.
 
Back
Top Bottom