Hayawi hayawi sasa yamekua ..
mnaomtakia mabaya Mh. Pinda a.k.a mtoto wa mkulima sasa mmeumbuka
Pinda msafiii .. hajakomba hata Tsh ya Escrow .
Movement ya Mtoto wa mkulima kuelekea Uchaguzi mkuu , bado upo pale pale .
We better talk with evidence .
Kama ni msafi hakuna shida! Tunashukuru! Tunataka wachafu wajulikane na hatua zichukuliwe!
