Maskin professor wangu mchapakaz! ila mi ningependekeza uendelee kuongoza hiyo wizara maana ulionyesha uhai kuliko wale akina Ngeleja na Karamagi na kutoogopa matajir wanaotaka kijinufaisha kupitia rasilimali za umma! maana kiongoz ambae ni mla rushwa huwa hana msimamo kama uliokuwa nao!ila usife moyo hiyo ni ajali kazin!