BabM
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 1,166
- 954
Hivi ni kweli huoni mantiki ya jina lake kutajwa?? Kweli we ni Kituko
Asingeweza kusimamia yeye Hizo pesa kwani Tayari zilishakuwa chini ya usimamizi wa BOT, kwenye mchakato wa kutoa hizo pesa ulihusika Mwanasheria mkuu, Hazina, TRA, Ikulu, TISS of-course na wizara yake, na kwenye Wizara yake muhongo sio mtendaji, mtendaji ni Katibu na ndiye aliyekuwa kwenye hayo mawasiliano
Kiukweli sijaona Mantiki ya Jina la Muhongo kuwemo kwenye hiyo report,