Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli mi huwaga nawashangaa waislam wana maisha duni sana, kumbe sisi ni mijizi ndo mana tuna afford kuishi maisha bora kuliko wenzetu!
Huku Mbezi na Mikocheni wagalatia tumepastawisha kumbe ni hela za wizi! Huu ni uonevu! Na aibu mno!
Ona Tiba ana shule nzuri eti ya Yatima huku anaifund na wizi wa fedha ya umma!
Kwa nini wakristo Rugemalila na cos wasingepeleka fedha hizo shule za Kata za Mbagala na Buguruni?
Ukimkuta na rozari kuubwa utadhani mnyororo wa kufungia Mbwa. Kumbe jizi tu!
Katibu anaweza akatoa go ahead bila idhini ya waziri,ukizingatia kwenye issue sensitive kama hiyo?cheo ni dhamana aondoke tu akafundishe,kwanza kwa mujibu wa sheria anatakiwa kustaafu,basi akajiajiri tuAsingeweza kusimamia yeye Hizo pesa kwani Tayari zilishakuwa chini ya usimamizi wa BOT, kwenye mchakato wa kutoa hizo pesa ulihusika Mwanasheria mkuu, Hazina, TRA, Ikulu, TISS of-course na wizara yake, na kwenye Wizara yake muhongo sio mtendaji, mtendaji ni Katibu na ndiye aliyekuwa kwenye hayo mawasiliano
Kiukweli sijaona Mantiki ya Jina la Muhongo kuwemo kwenye hiyo report,
Mpaka sasa nasema subiri. Movie haijaisha.
Dah viongozi wa dini hapo inakuaje!!
Wote wakiongozwa na Pinda wawajibike!
Hivi nani anasimamia shughuli za serikali?
Mwenzetu tupo pamoja kweli au ndio mapenzi yamezidi. Yaani unasema mpaka sasa hakuna kosa lililobayana walilolifanya?
Ama kweli akipenda chongo huona kengeza
Utakuwa Na malaria kali Sana unamtetea muhongo? Unamuita zitto Na genge lake? Wakuchunguze Kama hujapata hizi fedha zilizoibiwa utakuwa Ni juha namba moja hapa nchini. Kamati ya zitto imefanya kazi iliyokubaliwa Na watanzania zaidi ya asilimia tisini na tisa ukiondoa asilimia moja ya mafisadi Leo unaiita Ni zitto Na genge lake. P.umbavu wewe.Dalali kivipi?, unaweza kuwa Dalali bila kupata chako?, Muhongo kapata ngapi ya udalali?, hebu onyesha makosa ya Muhongo yako wapi?yeye kaingia Wizarani kakuta kuna kesi isiyoisha na Mkono kila siku anakula pesa za Tanesco hakuna kinachofikia muafaka, kama waziri akawakutaniaha Wadai na Wadaiwa wamalize tofauti zao, yeye kakaa pembeni, sasa ulitaka Muhongo kama Waziri afanye nini, azidi kumgawia Mkono pesa ya uwakili wakati issue inaweza kuisha kwa Mdai na Mdaiwa kukutana?Wizi wa ESCROW UPO NA KWELI PESA YA WANANCHI IMEIBIWA, NA KUNA WATU WANAPASHWA KUWAJIBISHWA, LAKINI NI MKITENDO CHA AIBU KWA MTU KAMA Zitto, kutafuta mwanya wa kumuingiza Muhongo Kwenye hiyo report Muhongo anafit vipi vipi kama sio kwa interest za Zitto na Genge lake? yaani bila Muhongo huo wizi usingefanyika?
Taifa kwanza lifanye kazi yake,halafu kanisa litasimama katika zamu yake#bring back our mkwanjazii
Faiza Foxy, Msalani,gsu, Simiyu Yetu, na vilaza wengine wa Lumumba kuja kipande hii!Msisahau kumshtua East African Eagle
Hayawi hayawi sasa yamekua ..
mnaomtakia mabaya Mh. Pinda a.k.a mtoto wa mkulima sasa mmeumbuka
Pinda msafiii .. hajakomba hata Tsh ya Escrow .
Movement ya Mtoto wa mkulima kuelekea Uchaguzi mkuu , bado upo pale pale .
We better talk with evidence .