asirud asijeendeleza uhongo wake
Kwa wale wasiofahamu, Muhongo ameshastaafu. Umri wake ulishafika kitambo, labda aombe mkataba. Na kwa jinsi alivyokuwa arrogant na kwa aibu kama hii hawezi kurudi Mlimani, labda wanaweza kumpa kazi UDOM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
asirud asijeendeleza uhongo wake
Tumepoteza kodi kubwa kwa upumbavu wa viongozi wenye upeo wa sampuli yako.
mkulu anayajua hayaaa??
Hivi kuna tofauti gani kati ya mwizi,jizi,jambazi na fisadi!msaada tafadhaliSOMA MAJINA YA WALIOKULA FEDHA ZA AKAUNTI YA ESCROW KATIKA RIPOTI YA PAC INAYOSOMWA SASA BUNGENI. Zitto: Upande wa viongozi wa kisiasa ambao waliingiziwa fedha katika akaunti zao binafsi ni; Mhe. Andrew Chenge (Mb) Zitto: Andrew Chenge aliingiziwa shilingi bilioni 1.6. Zitto: Mhe. Anna Tibaijuka (Mb) na Waziri wa 62 Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi shilingi bilioni 1.6. Zitto: Mhe.William Ngeleja (Mb) na ambaye alikuwa Waziri wa Nishati na Madini alipewa shilingi milioni 40.4 Zitto: Ndg. Daniel N. Yona ambaye alikuwa pia Waziri wa Nishati na Madini alipewa shilingi milioni 40.4. Zitto: Ndg. Paul Kimiti ambaye ni Mbunge Mstaafu wa Jimbo la Sumbawanga alipewa shilingi milioni 40.4 Zitto: Dr. Enos S. Bukuku ambaye alikuwa Mjumbe wa Bodi ya TANESCO aliingiziwa shilingi milioni 161.7. Zitto: Upande wa Majaji Prof. Eudes Ruhangisa, aliingiziwa milioni 404.25 na J.A.K Mujulizi aliingiziwa shilingi milioni 40.4 Zitto: kwa upande wa Watumishi wa umma,Ndg. Philip Saliboko ambaye alikuwa mtumishi wa RITA aliingiziwa shilingi milioni 40.4 Zitto: Ndg. Emmanuel Daniel Ole Naiko ambaye alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa (TIC) aliingiziwa shilingi milioni 40.4 Zitto: Ndg. Lucy L. Appollo ambaye ni Mtumishi wa TRA aliingiziwa shilingi milioni 80.8. Zitto: Viongozi wa Madhehebu ya Dini walioingiziwa fedha na Benki ya Mkombozi ni Askofu 63 Methodius Kilaini shilingi 80.9 Zitto: Askofu Eusebius Nzigirwa shilingi milioni 40.4 na Mchungaji Alphonce Twimann Ye Simon shilingi milioni 40.4. Zitto: Watu walienda kugawana fedha kwenye Benki tajwa wakiwa na mifuko ya rambo, sandarusi, mabox, magunia na lumbesa TegetaEscrow Zitto: Bilioni 73.5 zilitolewa na kugawanywa kwa watu mbalimbali kinyume cha Sheria ya Benki Kuu na Taasisi za Fedha ya 2006 Zitto: Taarifa ya benki (bank statements) yenye majina na akaunti zote zilizoingiziwa fedha zimeambatishwa. Zitto: Kamati imebaini mawasiliano kutoka kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha
Unaposema Mkombozi wametakatisha fedha huoni kama na benki kuu nao wanahusika katika utakatishaji huo?
Hivi nani anasimamia shughuli za serikali?
Then fcuk off
E-elimu
S-shida
C-ccm
R-roho zao mbaya
O-ombaomba
W-wezi
Duuu hawa 'watumishi' wa Mungu hawatosheki na sadaka, matoleo na fungu la moja kwa kumi hadi washadidie fedha haramu!!!
Aliyebeba lumbesa la manoti nani?
Anayajua na vyovyote vile alibariki lakini yeye ni a homestead pumpkin kuling'oa yataka tahadhari ya hali ya juu vinginevyo we will suffer the consequence
Muhongo kama waziri angesimamia hizo pesa zisitolewe kutoka kwenye account,aondoke tu akafundishe folds na faults
Subiri, yote yanajibika na haondoki mtu.
Asante Mungu kwakutupa vijana wa aina ya Zitto.