Full Text: Ripoti ya PAC Bungeni kuhusu Tegeta Escrow Account


Una miaka mingapi na una uzoefu gani na siasa za nchini au nchi yeyote ile duniani?
Hivi kweli unafikiri hizo billioni 200 au 300 ndio hela kubwa zaidi kuibwa hapa nchini? Do you really think so?
Juzi tu hapa, tulizikia bodi ya gas ya serikali ilikula 30billion kwa masaa mawili tu kama matumizi ya mkutano wao mkuu, je Click Hapa unalikumbuka hilo? Umeliskia tena zaidi ya ile siku 1 tu? Unafahamu ni mabillion mangapi kwa siku yanaliwa bandari katika upitishaji wa mafuta haya tunayoweka kwenye magari yetu? Unafikir hili swala la hivyo vibillion vichache walivyopewa kiongozi ndio hela kubwa zenye walakini walishozo wahi pokea wakiwa madarakani?

Ndugu ni dhahiri uelewa wako wa the political syndicates and webs that run a country bado mdogo. Hii ishu haina utofauti na na sio kubwa in terms of amount ukiringanisha na ufisadi mwingine nchini. Swala ni kwamba hii ni vita ya Mapapa wakubwa! Wazee wameingiliana maslahi ndio maana unaona hili. Hehehehe usidanganyike kirahisi kijana, japokua ni swala zuri lakini kwa asilimia 100 limesukumwa kisiasa!
Hivyo vilivyotolewa ni vijisenti tuuu? Mtu anapewa million 40 hadi bungeni anatajwa? Unakumbuka ile issue ya mkuu wa jeshi mwenye account yenye trillion 3 hapo south africa? Kama hujui google. Haya iliishia wapi?

Hii ni vita/boxing match ya HEAVY WEIGHTS dogo. Wewe shangilia tu the show sababu tumelipia kiingilio kwa kodi zetu!
 
Last edited by a moderator:
Umeme umekatwa muda huu Arusha, makao mapya. ITV wanarudia uwasilishwaji wa Escrow.

Tangu wiki ianze, ni mgao usio rasmi kama alivyotanabaisha Ngongo
 
Last edited by a moderator:
"Ni dhahiri kwamba viongozi wenye mamlaka makubwa wanapaswa kila wakati kukumbuka kauli ya muasisi wa Mapinduzi ya Zanzibar na Muasisi wa Muungano, Sheikh Thabit Kombo, ambaye alikuwa akipenda kusema ‘ weka akiba ya maneno."
HAYA MANENO NAONA YANAJIRUDIA SANA KICHWANI KWA PINDA
 

Yaani kwa ujumla nchi hii inaendeshwa kilevi levi. Ni kama wooote tumeshalewa na hatujui tunachokifanya. Tukiendelea hivi lazima tupatwe na mabaya.
 
CHADEMA kaeni chini na Zitto mzungumze yaishe!!Makosa yake yanazungumzika mbona?

Kuivua nguo serikali kiasi hiki na kulinda ripoti yao isiibiwe usiku kucha sio jambo rahisi!!Zitto ni MWANAMAPINDUZI

Akiri makosa yake tumsamehe na ajitowe ACT.
 

Honestly nimeipenda hii response. Na wala tusiwatetee akina Pinda. Waziri mkuu kuondoka itakuwa ni msg ya uhakika kuwa kwa miaka kumi hatukuwa na rais makini. Ila nataka kujua huyu jamaa (rais) ana weakness gani kusupport ufisadi kama huu...? Je Werema/Pinda wana ushujaa wa kutueleza mchango wa rais katika hili ...?
 
hata ukitetea wameshajulikana hiyo tu inatosha, aliyekutwa na ngozi ndiye aliyekula nyama!
 
Ha ha ha utetezi WA kijinga kabisa kuwahi kutokea hapa jamiiforum hata hao maaskofu wakisoma watakucheka.
 
mpaka watu wanagawana pesa kwenye viroba na mifuko ya rambo usalama wa taifa walikuwa wapi??????
 
182 billion Ndiyo zilikuwa escrow, ilitakiwa ziwe 306 billion, tanesco bado hawajalipa, kodi haizidi billion 30. Hata ikikatwa 30 b Bado Serikali G

Zitto amepiga porojo tu.
 
yeah mkuu TUJITEGEMEE hiyo ilikuwa warning ya kiutu uzima, nakumbuka ile ya mwakyembe dhidi ya mmasai japo ile ilikuwa kidogo direct,
 
Last edited by a moderator:
Dah kiukweli hii nchi inasikitisha sana.
Asanteni PAC, Zitto, Deo,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…