Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 9,626
- 6,731
Wewe ndo hovyo kabisa. Rais amefanya nini? Hao wanaojiita watu wa Mungu wamekuwa mstari wa mbele Kumkosoa Rais kumbe ni wanafiki wakubwa. Kwa kweli bora niwe mpagani kuliko kuwa mk....o.
kumbe mama Tibaijuka nae n mwiz??aiseee
Viongozi wa dini kama hawa nafikiri hata sadaka zetu haziponi.Ikibidi wajiuzuru.Kazi imewashinda.
------ wako... subiri movie haijaisha... ! Subiri wewe na wazimu wako! Wametuibia mabilioni ya fedha ... bado tu wewe uko upande wao! ------ yako.. tena huna adabu kabasi....na baradhuli mkubwa!! Watanzania tunalia na hali ngumu ya maisha kwa sababu ya wizi na ufisadi wa viongozi kama hao, wewe unapiga bra bra!! samahni wandugu nina hasira sana na wajinga hawa walioiba pesa zetu!
Imenipa shida kidogo kumeza,umeme wa dharura,mkataba miaka 20........
Naye atoweke madarakani mbona mamvi aling'atuka hivi watu wenye sura mbaya kupita kiasi huwa na roho mbaya vilevile
Hivi unaelewa mamlaka ya rais wewe?
mtu anauliza kuna tofauti gani kati ya mwizi, kibaka na jambazi! ndg zangu kuhonga ni kuhonga tu alie honga ndege, nyumba, gari na alie honga voucher ya mia tano wote ni WAHONGAJI.
yote mijizi hiyo from nowhere mtu akupe 1.6kindugu tuu! bwana kigumu nae kama jina lake kavuta 80m sasa sijui kwa niaba au mpunga wote wake.
kwa maaskofu hata haishangazi sana, ndiyo walivyofundishwa kuenenda hivyo... na ni kawaida kwao...Hata mie nimeshangaa sana kwa kweli. Lakini hawa viongozi wa dini wamekuwa wakijihusha hata na madawa ya kulevya na wamekuwa wakisemekana muda mrefu sana. Dini zingine bwana!!!! Sasa waumini wao wanawaambia nini???
Hawa viongozi wa dini wasio na wake na watoto,hiyo mihela wanapeleka wapi?...
Punguza hasira mkuu, ni binadam hao wanapaswa kuhukumiwa kulingana na makosa wakiyoyafanya.Tunataka hatua na kunyongwa kwa watu hawa.
wengine tunaona wengi ni wakrito tu kwenye hiyo list....Hayo majina naona kama mengi Ni wahaya kunani?