Full Text: Ripoti ya PAC Bungeni kuhusu Tegeta Escrow Account

Full Text: Ripoti ya PAC Bungeni kuhusu Tegeta Escrow Account

Nchi hii kuna watu wanapiga hela hatari. Ngoja kwanza nkaimezee panadol hii ripoti mana pesa yangu ishaliwa kizembezembe.
 
huyu mwenye tezi dume bora arudi tujue kama na yeye anahusika
 
Hata aibu halioni
 

Attachments

  • 1417027711686.jpg
    1417027711686.jpg
    61.5 KB · Views: 333
Viongozi wa dini kama hawa nafikiri hata sadaka zetu haziponi.Ikibidi wajiuzuru.Kazi imewashinda.

Kwani unavyofikilia sadaka yako ile unayotoa pale inaenda mbinguni!?...ww pale umetoa kwaajiri ya mungu na utalipwa kwa nia mkuu
 
Hivi mbona hatujaona mchangano wa pesa iliyoingizwa Standard charter na iliyokwenda UBL Bank
 
------ wako... subiri movie haijaisha... ! Subiri wewe na wazimu wako! Wametuibia mabilioni ya fedha ... bado tu wewe uko upande wao! ------ yako.. tena huna adabu kabasi....na baradhuli mkubwa!! Watanzania tunalia na hali ngumu ya maisha kwa sababu ya wizi na ufisadi wa viongozi kama hao, wewe unapiga bra bra!! samahni wandugu nina hasira sana na wajinga hawa walioiba pesa zetu!

Nyinyi mnasikia hiyo ripoti au mnafata ushabiki?

Jumla ya fedha zilizolipwa b182, jumla ya fedha zinazodaiwa b306, kodi inazosemekana hazijalipwa b30, bado ngapi IPTL hawajalipwa?
 
Imenipa shida kidogo kumeza,umeme wa dharura,mkataba miaka 20........

HII NI HATARI KULIKO HATARI ZOTE. Sasa napata jawabu la kwa nini nimekuwa nikilalamikia bei ya umeme wa luku ninaoununua kila mwezi. Na juzijuzi nikaisikia serikali ikijinadi kuwa tutaanza kununua umeme wa bei rahisi toka TANESCO. Hii nadhani ilikuwa ni janja yao tu kwa malengo ya kulituliza hili saga la ESCROW

The Listener
Ex Detective
 
Ninataka wale wa stanbic tu. Mbona wanafichws ila wanataja tu kiasi kilichochukuliwa kwa marambo haya, mabox haya
 
mtu anauliza kuna tofauti gani kati ya mwizi, kibaka na jambazi! ndg zangu kuhonga ni kuhonga tu alie honga ndege, nyumba, gari na alie honga voucher ya mia tano wote ni WAHONGAJI.
yote mijizi hiyo from nowhere mtu akupe 1.6kindugu tuu! bwana kigumu nae kama jina lake kavuta 80m sasa sijui kwa niaba au mpunga wote wake.

Afu mtoto wake ampe mil 800
 
Hata mie nimeshangaa sana kwa kweli. Lakini hawa viongozi wa dini wamekuwa wakijihusha hata na madawa ya kulevya na wamekuwa wakisemekana muda mrefu sana. Dini zingine bwana!!!! Sasa waumini wao wanawaambia nini???
kwa maaskofu hata haishangazi sana, ndiyo walivyofundishwa kuenenda hivyo... na ni kawaida kwao...
 
Back
Top Bottom