Full Text: Ripoti ya PAC Bungeni kuhusu Tegeta Escrow Account

Full Text: Ripoti ya PAC Bungeni kuhusu Tegeta Escrow Account

Victoire

Carry the bigger picture mkuu. Escrow Account ni snap shot tu ya ufisadi mkubwa unaitwa IPTL ambao wako watu hawawezi kukubali ufumuliwe wote.

Hata hilo la Escrow; mbona yote hayasemwi na Kamati zote. Where is the royal family, where is Mkono & Co.

Ukifumua the whole saga ya IPTL utapata majibu...
Sasa hiyo ndo kazi yenu,fumueni kila kitu,yaani tumechoka na viongozi mafisadi
 
Hahahaaa isijekua ni mchepuko wa mkeo na house girl....
Hahahahaha nifah usinitoe concentration aisee! Ngoja nifunge tu mlango wasije ondoka mapema, niwaulize baadae!
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha messi huwa hakosi penalti kizembe

Hawa ma mess wa kibongo hawaelewi mtu wangu, unaweza ukasika fisadi moja linamfinyia kijicho nakumuahidi kitita kizito na yeye akapaisha kweli. Sema chamsingi ni ushindi, iwe kwa kung'ata meno au vyovyote, lakini tuhakikishe kukuwetu anarudishwa tunduni
 
Kinachonifurahisha hapa mtaani kwangu lile Land cruser la Emergence la Tanesco ambalo ndio wanakataga umeme na kuja kuurudisha leo na wao wamepaki bar ya jirani wanakula tungi huku wanafuatilia bunge. Sina hofu na umeme kabisa.
 
Back
Top Bottom