Opera Min
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 890
- 658
TV zenye vichogo kumbe bado zipo
Ha ha ha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TV zenye vichogo kumbe bado zipo
Ukimnusa muhongo sasa lazima keshahara......
Wanachungulia kwa mbali.
Mwanasheria wa serikali anadanganya kwa mara nyingine tena.... Gavana....
Wameshikwa na tezi dume kwenye vidole..Viwavi vya Lumumba mbona sivioni..
Sasa hiyo ndo kazi yenu,fumueni kila kitu,yaani tumechoka na viongozi mafisadiVictoire
Carry the bigger picture mkuu. Escrow Account ni snap shot tu ya ufisadi mkubwa unaitwa IPTL ambao wako watu hawawezi kukubali ufumuliwe wote.
Hata hilo la Escrow; mbona yote hayasemwi na Kamati zote. Where is the royal family, where is Mkono & Co.
Ukifumua the whole saga ya IPTL utapata majibu...
Si ndo zao hawa machinga na mama ntilie wanafuatiliwa hadi kidogo wao eti elfu sitini
Ha ha ha messi huwa hakosi penalti kizembe
Viwavi vya Lumumba mbona sivioni..
Hahaaaaaaaaaaa tena kavalishwa pampers na mkewe toka asubuhi!
Werema ni mbwa kabisa,yaani anaisaliti nchi yake jamani jamani