Full Text: Ripoti ya PAC Bungeni kuhusu Tegeta Escrow Account

Full Text: Ripoti ya PAC Bungeni kuhusu Tegeta Escrow Account

Ripoti hii ni mwiba kwa wezi waliobainika hasa muhongo, werema, maswi na manyang'au mengine yaliyobebelea lumbesa na sandarusi na kuchota mahela yetu.
 
Report inayosomwa inaeleza A/c za Viongozi watat akiwamo Cardinal Pengo wamepokea mgawo wa ESCROW na Mkombozi Bank ikihusishwa na ufunguaji wa A/C kwa kuweka ela za ESCROW.

Acha ushabiki wa kipumbavu ni wapi Pengo katajwa? Acha uchakubimbi we dada
 
mapendekezo ya kamati waziri mkuu ang'oke,nimesoma ripoti yote wmenukuu nyerere
 
CCM mwisho wenu umefika... Sijui mjisafishe na nini...
 
Report inayosomwa inaeleza A/c za Viongozi watat akiwamo Cardinal Pengo wamepokea mgawo wa ESCROW na Mkombozi Bank ikihusishwa na ufunguaji wa A/C kwa kuweka ela za ESCROW.

Huo ni uchochezi tena mbaya sn, acha upimbi dogo, Pengo una uhakika km ametajwa?
 
Back
Top Bottom