Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na mambo yanavyoendelea leo lazima lifumuke tezi dume lingine halafu aende Italy akaombewe
JK ajiuzului mapemaaaa....
Hakuna tena nchi hapa...Nchi inaongozwa na majizi..
Report inayosomwa inaeleza A/c za Viongozi watat akiwamo Cardinal Pengo wamepokea mgawo wa ESCROW na Mkombozi Bank ikihusishwa na ufunguaji wa A/C kwa kuweka ela za ESCROW.
star tv rekebishen sauti haisikiki inakwaruza sanaaaaaaa
Aiseeeeee ni hatariiiiiiiiiiiiiiiii.
Pesa zinabebwa na viroba hatari sana......
Atakaeichagua Ccm 2015 nitamuona mwehu
HahahahahaaLukuvi kaondoka pembeni ya Werema!! Hehehehehe jamaa atakua kajinyea au ana jamba jamba ovyo hadi Lukuvi kashindwa kuvumilia!
Report inayosomwa inaeleza A/c za Viongozi watat akiwamo Cardinal Pengo wamepokea mgawo wa ESCROW na Mkombozi Bank ikihusishwa na ufunguaji wa A/C kwa kuweka ela za ESCROW.