Munkari
JF-Expert Member
- Feb 9, 2013
- 8,084
- 4,358
Lukuvi kaondoka pembeni ya Werema!! Hehehehehe jamaa atakua kajinyea au ana jamba jamba ovyo hadi Lukuvi kashindwa kuvumilia!
Teh teh aseeee!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lukuvi kaondoka pembeni ya Werema!! Hehehehehe jamaa atakua kajinyea au ana jamba jamba ovyo hadi Lukuvi kashindwa kuvumilia!
Mahitaji ya umeme yalikuwa ni kwa ajili ya dharura lakini tukaingia mktaba wa miaka 20 !!!!!!!!! dUUUUHHH
The Listener
Ex Detective
mwanasheria wa serekali bogassiiiiWarema aliikosesha serikali billion 23 kama kodi!
Pesa zinabebwa na viroba hatari sana......
Atakaeichagua Ccm 2015 nitamuona mwehu
Pesa zinabebwa na viroba hatari sana......
Atakaeichagua Ccm 2015 nitamuona mwehu
Huyu leo kigugumizi kitapanda,atakuwa anaongea kwa mikono na miguu,hapa ndipo utakapojua kawa NYANI...Werema kiburi sana kama Muhongo
Na sandarusi na mifuko ya rambo yaani haya majamaa hatari!
Pesa zinabebwa na viroba hatari sana......
Atakaeichagua Ccm 2015 nitamuona mwehu