Full Text: Ripoti ya PAC Bungeni kuhusu Tegeta Escrow Account

Full Text: Ripoti ya PAC Bungeni kuhusu Tegeta Escrow Account

Kufuatana na sakata la iptl pap pipeline etc na mauziano ya shares za merchmar bila hao shareholders wa merchmar kujulikana nina wasi wasi kuwa owners ni wabongo ambao hawataki kujulikana
 
Hajanywa yale maji ya kunywa. AFAZALI!!
Kaingia huyu jamaa ambaye hachekagi, hehehe kutoa mapendekezo ya kamati. Ndio anafaa kabisa sababu sura yake na hukumu itakayotolewa vitaendana sana!
 
Kumbe kauli zote za ubabe,ukali na kebehi toka kwa Prof Muhongo dhidi ya Mengi,wananchi na wafanyabiashara wazaleendo ilikua ni mazingira ya kuendelea kutuibia Watanzania??shame on u Pro!

Tena huyu ndo amepiga dau kubwa kuliko wote 2.1B
 
Kwa jinsi Zito alivyopigiwa makofi wakati anamaliza kusoma, inaonyesha kazi ipo leo mjengoni
 
Macho kwa macho kwenye TV mpaka shingo inauma lakini mpaka report ikamilike tukamate wezi wa pesa zetu! Tanesco shikilieni hapo hapo!
 
Back
Top Bottom