Movie haijaisha mpaka tusikie upande wa pili, hoja za Zitto zimekaa kishabiki shabiki, mapendekezo pia yamekaa kishabiki, mpaka neno dalali alilotumia Mhongo kwa Mengi limerudiwa kuelekezwa kwa Mhongo.
Yote yanajibika tena kiufasaha kabisa.
Kweli mnaroho ngumu kama Paka.
Yaani mishipa ya aibu kwisha.Tatizo lenu Udr na Uprof wakuokoteza umewaharibu vibaya. Mnawaona wengine kama si-binadamu vile.
Hivi unadhani tuko kwenye taarabu ambayo na imani lazima kuna mistari ya kufuatwa na sikujimbia tu.
Dr FaizaFoxy taratibu mtalewa somo!
Last edited by a moderator: