Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanigambila stupid mno,infact actually mazima kwakweli ututake radhi wahaya kwa kupaita Bukoba porini.
Vinginevyo ntamuagiza mtoto wangu Kokuberwa aliyegraduate masters ya sheria nchini Urusi akuburuze mahakamani.
Mimi si mwanasiasa, lakini nilikupenda sana Zito. Hivi karibuni nilianza kupata mashaka na mwenendo wako wa kisiasa. Leo umenisuuza nafsi!! Ahsante Zitto.
Hatari sana.
Ndiyo maana kwa wenzetu Wazungu wasiopenda unafiki, Makanisa yanabadilishwa na kuwa Restaurants.
Hakuna evidence kama hawa waliopewa walijua ni za escrow
Stanbic,Mkombozi zinatakatisha pesa haramu
Jamani Chenge aondoke sasa! Dah!
Halafu si ana katoto ka kike huyu kalikua kanamfwata mahakamni kipindi kile aue wale hawara zake kwenye bajaji?
Kama Pinda anawajibika,ni kwanini Kiwete abaki?
Mkuu hii kitu haijaisha. Wamo wengi. Kuna zile transaction za mamilioni ya dola na mabilioni ya shilingi ambazo hazina majina. Hizo ndizo zinafanyiwa kazi ya kiuchunguzi na PCCB. Report ya PCCB bado, tuendelee kusubiriwalisema Mbowe eti naye yumo sasa yapo wapi? Cc: msalani, simiyu yetu, faizal fox, lizabon.
Bi Mkubwa uchunguzi umefanywa na Taasisi siyo ZZK, utamuonea bure mzee wa hammer yeye anawakilisha uchunguzi
Isitoshe huo ushahidi wa baruwa, nyaraka na vimemo hawana jeuri ya kuvikwepa
Mbaya zaidi kila kitu nifeki ndiyo maana walitaka kutumia mahakama kuficha maovu yasisomwe yakajulikana.
Wakati mwingine kubari kushindwa.