Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila mwenye sikio amesikia na mwenye macho ameona kazi iliyofanywa na kamati ya PAC chini ya mwenyekiti mh Zitto Kabwe na makamu wake Deo juu ya Tegeta Escrow Account, hongereni mmekata kiu ya watanzania
E-elimu
S-shida
C-ccm
R-roho zao mbaya
O-ombaomba
W-wezi
Haukua na sababu ya kunukuu,Haya ndiyo Muneno! VIVA PAC.
Jinsi watu walivyokuwa wakichukua pesa MKOMBOZI BANK
![]()
Jinsi watu walivyokuwa wakichukua pesa MKOMBOZI BANK
![]()
Tusubiri,THE REVENGE kesho.
kuna watu wataumbuka hapa.
Kweli walitakiwa wataje figures. Wametaja kodi zilizokwepwa na pesa iliyopotea kwenye transactions za hisa.Wala haisemi kama hela za escrow ni za umma ama iptl,wanasema sehemu sasa sehemu how much?
Movie haijaisha mpaka tusikie upande wa pili, hoja za Zitto zimekaa kishabiki shabiki, mapendekezo pia yamekaa kishabiki, mpaka neno dalali alilotumia Mhongo kwa Mengi limerudiwa kuelekezwa kwa Mhongo.
Yote yanajibika tena kiufasaha kabisa.