Full Text: Ripoti ya PAC Bungeni kuhusu Tegeta Escrow Account

Full Text: Ripoti ya PAC Bungeni kuhusu Tegeta Escrow Account

Hata bunge litoe hoja ya kutokuwa na imani na utawala wa JK. Haiwezekani haya yote yatokee bila mkono wa IKULU.
 
Mungu awawezeshe hili na jengine ZZK na Deo.. Na awalinde na kila Shari ya majini na binadamu...
 
Kila mwenye sikio amesikia na mwenye macho ameona kazi iliyofanywa na kamati ya PAC chini ya mwenyekiti mh Zitto Kabwe na makamu wake Deo juu ya Tegeta Escrow Account, hongereni mmekata kiu ya watanzania

watanzania ujinga mtaacha lini huu sio ushabiki we need to findi the parmanent solution wewe unaongelea propaganda
 
Arudi she pesa na kutoka yanga altare aibu sana kwetu wakatoliki
 
huku ndo kina muhongo na wenzie walibebea minoti yao!!!!!
 
kamshitakini kwa papa ndio anaweza kumuadhibu pekee. ama sivyo, atazirudisha tu zile pesa, atapiga magoti kuomba kusamehewa zambi,pengo atamuombea, atarudi madhabahuni kwani wataamini hakuna malaika duniani...very simple..
 
Jinsi watu walivyokuwa wakichukua pesa MKOMBOZI BANK

ZimbabDollors3PA_468x628.jpg


Mkuu hatuna not ya 200,000 Hii itakuwa Zim dolla hukoo zimbabwe.....asante nimecheka nakufrahi.
 
asante zzk sikawahi kuwa na mashaka nawe ila nazidi kuwa na iman nawe
 
Huwezi kumpa pongezi zito mwenyewe bila wajumbe wengine pamoja na cag bila kumsahau kafulila
 
Mwenye report ya PAC in pdf format
Iweke hapa tafadhari
Tusome neno kwa neno
 
Tusubiri,THE REVENGE kesho.
kuna watu wataumbuka hapa.

Hivi najiuliza kwa mfano mtu alikuwa anamdai fedha Rugemalira na akalipwa kipindi hicho how do you say kuwa ni fedha za ESCRO? Manake naona kama kamati inachukulia kila aliyelipwa na Ruge ilikuwa ni fedha za ESCRO . I think that's wrong assumption. Kwani Rugemalira ni mfanyabiashara analipa watu kila siku na kwa sababu mbalimbali. Sisemi hakuna wizi ila nasema ni wrong assumption kuassume kuwa kila aliyelipwa eti ilikuwa ni mgao wa ESCROW.
 
Wala haisemi kama hela za escrow ni za umma ama iptl,wanasema sehemu sasa sehemu how much?
Kweli walitakiwa wataje figures. Wametaja kodi zilizokwepwa na pesa iliyopotea kwenye transactions za hisa.
 
riport haijaficha kitu wewe unahoji kipi kipya au ndio mnataka kupoteza malengo
 
Movie haijaisha mpaka tusikie upande wa pili, hoja za Zitto zimekaa kishabiki shabiki, mapendekezo pia yamekaa kishabiki, mpaka neno dalali alilotumia Mhongo kwa Mengi limerudiwa kuelekezwa kwa Mhongo.

Yote yanajibika tena kiufasaha kabisa.

Wee mama una laana!! Hiyo iliyojadiliwa leo ni ripoti kutoka serikalini(PCCB na CAG) na Kikwete anayo...Cha kukushauri subiri mtikisiko kesho!!
 
Wewe mama angalau mara mojamoja uwe na huruma,hivi ushawahi kujifungua mtoto wewe??????u
Movie haijaisha mpaka tusikie upande wa pili, hoja za Zitto zimekaa kishabiki shabiki, mapendekezo pia yamekaa kishabiki, mpaka neno dalali alilotumia Mhongo kwa Mengi limerudiwa kuelekezwa kwa Mhongo.

Yote yanajibika tena kiufasaha kabisa.
 
Back
Top Bottom