Full Text: Ripoti ya PAC Bungeni kuhusu Tegeta Escrow Account

Full Text: Ripoti ya PAC Bungeni kuhusu Tegeta Escrow Account

Movie haijaisha mpaka tusikie upande wa pili, hoja za Zitto zimekaa kishabiki shabiki, mapendekezo pia yamekaa kishabiki, mpaka neno dalali alilotumia Mhongo kwa Mengi limerudiwa kuelekezwa kwa Mhongo.

Yote yanajibika tena kiufasaha kabisa.

Kweli mnaroho ngumu kama Paka.
Yaani mishipa ya aibu kwisha.Tatizo lenu Udr na Uprof wakuokoteza umewaharibu vibaya. Mnawaona wengine kama si-binadamu vile.
Hivi unadhani tuko kwenye taarabu ambayo na imani lazima kuna mistari ya kufuatwa na sikujimbia tu.

Dr FaizaFoxy taratibu mtalewa somo!

 
Last edited by a moderator:
Hivi najiuliza kwa mfano mtu alikuwa anamdai fedha Rugemalira na akalipwa kipindi hicho how do you say kuwa ni fedha za ESCRO? Manake naona kama kamati inachukulia kila aliyelipwa na Ruge ilikuwa ni fedha za ESCRO . I think that's wrong assumption. Kwani Rugemalira ni mfanyabiashara analipa watu kila siku na kwa sababu mbalimbali. Sisemi hakuna wizi ila nasema ni wrong assumption kuassume kuwa kila aliyelipwa eti ilikuwa ni mgao wa ESCROW.
Mkuu hiyo ni simpo sana. Kama alikuwa anadai ushahidi utaonyeshwa kwamba mtu alikuwa akimdai JR. Ataonyesha alikuwa akidai nini na analipwa nini. Alifanya biashara gani na JR/VIP?na huyo mdai ana biashara hiyo na analipa kodi.

Kwa hiyo mtu kama Askofu Kilaini tutasema alikuwa akimdai JR/VIP sadaka/zaka alizolimbikiza?je sadaka zinalipwa kwa kilaini ama kanisani.
 
Huwezi kumpa pongezi zito mwenyewe bila wajumbe wengine pamoja na cag bila kumsahau kafulila

Nimesema mwenyekiti wa kamati ya PAC kwa maana hiyo,na wjumbe wake pia,ila Mwenyekiti ndio mwakilishi
 
Kama report ya PAC inavyoonyesha kiwa kuna watu wamechukuwa pesa kuyoka hii bank kwa cash na kiwango cha mabilioni, je ni nani had?je ni kati ya hawa?
1. Pinda
2. Maswi
3. Werema
4. Muhongo

Uchunguzi ufanyike ijulikane pesa hizi za malipo ya kihalifu PAP wamepewa akina nani na kwa nini BOT haikuwa na taarifa ya malipo haya

Hao wote ndani....
 
Kweli haki inatafutwa aisee,bila kelele pale hata hii ripoti isingesomwa milele
 
Mkuu hii kitu haijaisha. Wamo wengi. Kuna zile transaction za mamilioni ya dola na mabilioni ya shilingi ambazo hazina majina. Hizo ndizo zinafanyiwa kazi ya kiuchunguzi na PCCB. Report ya PCCB bado, tuendelee kusubiri



Kwenye hii kitu chochote kinawezekana nikusubiri kilakitu kichambuliwe tope lote na vumbi vipite.

Tunaweza kukuta majina ya watu ambao hatukuwatarajia kabisa - Pesa ni mwanaharamu ati!
 
Kuna mamtu humu yana roho ngumu bado na misimamo ya kina Prof.Muhogo
 
Sikumbuki ni nani aliwahi shinda na na Mzee Mengi akashinda hiyo vita, yule Mzee nadhani ana akili sana.
Hongera mzee kwa kuwa chambo wa kutetea rasimali za Uma.
Haya Prof. first class royal emirates utazisikia tu kwenye vipeperushi ila Mzee Mengi nadhani hata siku ikifa ataletwa na ndege firs class.
 
ifike mahali tuukate mti hii mzima kuliko kuhangaika na matawi haya. Rais ndie chanzo cha haya yote maana yeye ndie kiongozi wa hawa wote. Ni mara ngapi serikali yake inaanguka ktk ufisadi mkubwa hivi? Hivi sasa kuna kashfa kubwa zaidi ya zote iko kwenye bomba la gesi zaidi ya 2trilions wamekula.
 
Back
Top Bottom