Full Text: Ripoti ya PAC Bungeni kuhusu Tegeta Escrow Account

Full Text: Ripoti ya PAC Bungeni kuhusu Tegeta Escrow Account

Wakati watanzania wameaminishwa kuwa hela ya Tegeta Escrow Account ni za serikali,wajanja wachache wachota mabilioni ya shilingi za kitanzania kiulaini.


Taarifa zilizovuja kutoka vyanzo vya uhakika vinaelezea kuwa uhusiano wa Singh na washirika wa Lowassa ulianza wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu wa nchi wa nchi jirani ambayo ni mwanachama wa EAC.


Baada ya uchaguzi huo kumalizika na kundi hilo kushindwa walihamia Tanzania ambapo mpango mahususi wa wizi wa hela halali za Benki moja iliyopo Far East Asia ulifanywa.


Mchezo huu ulichezwa kwa umakini wa hali ya juu sana ambapo nyaraka za kughushi ziliandaliwa na kundi hili ili kuhalalisha wizi huu uliowapa faida ya mabilioni ya shilingi za kitanzania.


Benki moja nchini ilitumika kupitisha hela hizo,Meneja wa benki hiyo na baadhi ya wafanyakazi wengine wenye uhusiano wa karibu sana na Lowassa wameshafukuzwa kazi.Meneja wa Benki hii ni raia wa nchi jirani mwanachama wa EAC na yupo katika timu ya kampeni ya Lowassa.Meneja huyu ndio aliruhusu hela zitolewe taslimu na kwa kiasi kikubwa sana.


Baada ya kuona wao wameshachafuka,Lowassa na mshirika wake mkubwa katika biashara mwenye asili ya kiasia,walimkabidhi mfanyabiashara mmoja wa kiasia kazi ya kuwa na mtuhumiwa huyo.


Kazi kubwa waliyoifanya ni pamoja na kuwaaminisha watanzania kupitia vyombo vya habari wanavyovimiliki kuwa fedha zile ni mali ya umma na hivyo kuondoa nafasi ya wananchi kuwasogeza karibu na wizi huu.


Walitengeneza mazingira ya kila hila kuonesha kuwa baadhi ya viongozi waandamizi wa serikalini wameshiriki kuiba na kula fedha hizo.


Hoja iliyowasilishwa bungeni ilikuwa ni wizi wa fedha za umma,lakini mwisho wa mjadala huo ambao ulipamba moto sana,uliishia kutoa adhabu kwa watendaji wa serikali kuwa walikuwa wazembe na waziri mmoja kushitakiwa kwa kusema uongo bungeni jambo ambalo ni tofauti kabisa na hoja ya msingi ilipowasilishwa.

Fanilia ya mkulu ndani.


swissme
 
Upuuzi unaozidi kuifanya serikali iliyopo madarakani kuwa ni ya kibwege pasipo mfano.
Haya endelea na hoja yako
 
Kipind kama hiki tutasikia mengi. kuna yatakayokua na ukweli na yenye uongo ndani yake. tafakari, chukua hatua
 
Marwa aliyezaa na mtoto wa Kikwete ni timu Lowassa??!

Gurumo wa Ikulu aliyepewa 800mln huku akijitanba yeye ana mafwedha ni timu Lowasa??!!

Seth wa PAP ni timu Lowassa??!!

Miraj Kikwete na Dada yake ambae ni Daktari wanaohusishwa na umiliki wa Simba Trust iliyosajiliwa Australia na kuja kukinga pesa na Seth kupitia PAP ni timu Lowassa??!

Vipi na Rugemalira ambae tumeelezwa tangu 1990s alikuwa akifanya biashara ya nafaka na Kikwete ni timu Lowassa??!!

Watu wa CCM hovyo sana,Mwenyekiti anaua chama nyie mmekazana na upumba.vu tu wa propaganda!!!
 
Hivi Magufuli alikuwa sehemu ya hiyo serikali? Nauliza tu...!
 
Hivi Magufuli alikuwa sehemu ya hiyo serikali? Nauliza tu...!
Kwa miaka kama ishirini serikalini kama waziri kama sikosei kwa hiyo anajua kinachoendelea.

Waliofanya hayo mambo wamewekwa na CCM na yeye pia amewekwa na CCM, hakuna jipya.
 
Hadi wazungu kufikia walipofika aikuwa rahisi kama mfuataliaji wa historia ya capitalism ukisoma historia ya watu kama 'the train men' waliojenga reli marekani, Rockefeller ventures especially his standard oil business. Hawa jamaa dhambi walizokuwa wanazifanya kwa kushirikiana na wanasiasa, mabenki na namna walivyokuwa wana control uchumi wa nchi ndio utaelewa kwanini serikari za wazungu pia ilibidi wawe wabunifu kibiashara, wawe makini na sheria zao, waweke watu makini kusimamia shughuli muhimu za uchumi na maendeleo kuisaidia serikari nayo iwe na advantage.

Vinginevyo utapigwa tena kisheria ata kama kuna elements za ufasadi watu walishajua wanajikinga vipi na wanapiga vipi; badala ya kutafuta visingizio au hasira jifunze, jipange rudi upya zuia mianya ya kupigwa hakuna njia nyingine vinginevyo ukirudi mahakamani unakutana na vifungu vile vile ata upige kelele vipi; huo ndio uhalisia w dunia you learn through your mistake its simple.
 
Dhulumati na roho mbaya shetani anayesingizia watu makosa na kuwaacha wahusika huu uzi unakila kitu alaaniwe yeye na kizazi chake anayewaonea wasiohusika huku akiwajua wahusika vizuri kabisa.
 
Dhulumati na roho mbaya shetani anayesingizia watu makosa na kuwaacha wahusika huu uzi unakila kitu alaaniwe yeye na kizazi chake anayewaonea wasiohusika huku akiwajua wahusika vizuri kabisa.
Naamini kuwa serikali inamwogopa Chenge. Huyu Chenge a.k.a nyoka wa makengeza alipiga hela za rada akaficha visiwa vya new jersy hata serikali ilipojua ikagwaya. Kapiga za Escrow hata akatangaza kuwa bil.1.6 ni vijisent tu bado serikali imegwaya. Hata kwenye upelelezi hayumo. Namwomba namba moja amsweke ndani au awaachie wote walioko mahabusu.
 
Back
Top Bottom