Unafuraaahi mwenyewe kuwa nchi itapigwa banKaa mkao wa kula nakuletea full text ya mswada kwenye huu uzi.
Kama wewe ni MwanaCCM read at your own risk.
View attachment 3595847View attachment 3595848View attachment 3595846View attachment 3595845View attachment 3595849
muswada wa kawaida sana kuhusu nchi powerful ya kidemokrasia na ya kawaida sana.Kaa mkao wa kula nakuletea full text ya mswada kwenye huu uzi.
Kama wewe ni MwanaCCM read at your own risk.
View attachment 3595847View attachment 3595848View attachment 3595846View attachment 3595845View attachment 3595845
Nani kafurahi.Unafuraaahi mwenyewe kuwa nchi itapigwa ban
Twafaa
Sasa Itakuwaje Maana CCM Wote Wanapenda Kwenda US, European Union Kutibiwa
Tena na kushabikia juuNani kafurahi.
Shida yoye ya nini hii, si waje wamnyakueKaa mkao wa kula nakuletea full text ya mswada kwenye huu uzi.
Kama wewe ni MwanaCCM read at your own risk.
View attachment 3595847View attachment 3595852View attachment 3595854View attachment 3595851View attachment 3595861View attachment 3595860View attachment 3595862View attachment 3595863View attachment 3595864View attachment 3595866View attachment 3595867View attachment 3595865View attachment 3595848View attachment 3595846View attachment 3595845View attachment 3595853View attachment 3595849View attachment 3595874
Looking for justification.Shida yoye ya nini hii, si waje wamnyakue
Good!Looking for justification.
Safi kabisa, it's a two way traffic, wakati wewe ulishangilia watu kuuawa upande mwingine nao wanashangilia wauaji kuminywa ikiwezekana wafe kabisa who cares.Tena na kushabikia juu
Chemical Ali wa jamiiforums.muswada wa kawaida sana kuhusu nchi powerful ya kidemokrasia na ya kawaida sana.
in fact,
ni muswada unaolenga zaidi kuimarisha mahusiano ya muda mrefu na ya kihistoria na yenye maslahi chanya na mapana ya nchi zote mbili kwa mazingira ya sasa.
hakuna athari kwa viongozi wa serikali sikivu ya CCM wala kwa wananchi wote wa Tanzania 🐒
relax tu gentleman kama huna point,Chemical Ali wa jamiiforums.

AIKaa mkao wa kula nakuletea full text ya mswada kwenye huu uzi.
Kama wewe ni MwanaCCM read at your own risk.
View attachment 3595847View attachment 3595852View attachment 3595854View attachment 3595851View attachment 3595861View attachment 3595860View attachment 3595862View attachment 3595863View attachment 3595864View attachment 3595866View attachment 3595867View attachment 3595865View attachment 3595848View attachment 3595846View attachment 3595845View attachment 3595853View attachment 3595849View attachment 3595874
Hakuna athari OK, but as I told you earlier read at your own risk.muswada wa kawaida sana kuhusu nchi powerful ya kidemokrasia na ya kawaida sana.
in fact,
ni muswada unaolenga zaidi kuimarisha mahusiano ya muda mrefu na ya kihistoria na yenye maslahi chanya na mapana ya nchi zote mbili kwa mazingira ya sasa.
hakuna athari kwa viongozi wa serikali sikivu ya CCM wala kwa wananchi wote wa Tanzania 🐒
Sio kweli. Mnashangilia kuminywa wauaji na wasio wauaji. Kibinyo kikija hakichagui. Hata mashabiki nanyi mtaingia tu...Safi kabisa, it's a two way traffic, wakati wewe ulishangilia watu kuuawa upande mwingine nao wanashangilia wauaji kuminywa ikiwezekana wafe kabisa who cares.
Good!Looking for justification.
Maumivu nitakayopata mimi hayawezi kulingana na atakayopata Mafwele na wauaji wenzake.Sio kweli. Mnashangilia kuminywa wauaji na wasio wauaji. Kibinyo kikija hakichagui. Hata mashabiki nanyi mtaingia tu...
Unajua sipendi sana kujadili mambo yako ya siasa ila hapa unanipa mashaka kiasi. Waziri analalamika hajatendewa sawa na huu muswada ( anatoa milio). Wewe unasema hakuna athari za muswada huu. Sasa sijui kati yako na waziri yupi hajasoma na kuelewa maudhui ya muswada.muswada wa kawaida sana kuhusu nchi powerful ya kidemokrasia na ya kawaida sana.